Skip to main content

Njia za asili za kuondoa chunusi wakati wa usiku

 Wakati watu wengi wakitumia mafuta pia na lotion zenye viambatana sumu yani kemikali na kuharibu ngozi zao za uso (reception) but Kuna njia za asili na za kuaminika za kuondoa chunusi na hazihitaji pesa nyingi.


 KIPANDE CHA BARAFU


 

Barafu husaidia kukausha/kunyausha chunusi  na kunyonya mafuta na kuyasambaza katika maeneo mengi ya mwili

Namna ya kutumia
Chukua barafu tia kwenye kitamba safi then fanya kama una massage sehemu yenye chunusi
Fanya mara nyingi uwezavyo.

 

ASALI

 

 Pia imethibitishwa na wataalam wa ngozi kuwa asali inasaidiaa sana kuondoa chunusi kwa kuzibua matundu ya hewa ya ngozi na kufanya ngozi kupumua vizuri , endapo matundu yakizipa husababisha chunusi

Namna ya kutumia
Tumia pamba safi chovya asali paka katika eneo lenye chunusi fanya kama unamassage eneo, acha kwa dakika 10  osha kwa maji ya uvuguvugu



 

 

MAJI YA LIMAO (lemon juice)

Linauwa vijidudu katika ngozi pia huondoa chunusi haraka kwa sababu ya kemikali zipatikanazo ndani yake

Namna ya kutumia
 Tumia pamba safi weka kwenye eneo lenye chunusi  baadaa ya hapo lala mpaka asabuhi , nawa uso uamkapo.

KITUNGUU SWAUMU
Kitungu hutibu magonjwa takribani 20 pia chunusi kwa uharaka sana


Namna ya kutumia
Kata kitungu swahumu vipande viwili
Sugua taratibu eneo lenye chunusi

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUPIKA MAANDAZI/MAHAMRI LAINI NA MATAMU SANA/how to make maanda...

JINSI YA KUKAANGA MIHOGO LAINI/ CASSAVA RECIPE

Foods That Will Give You Glowing Skin

Research reveals that our skin is a mirror of our internal bodily health, for every single food item we consume and how it affects our body is manifested clear upon the surface of our skin. Individuals who devour heals of sugary treats, fatty foods and processed treats tend to experience a fast and premature aging process, as their collagen is broken down much more quickly, which causes their skin to lose all its radiance and glow. However, on the bright side, nature provides us countless foods and fruits that aid our skin and protect it from all kinds of weather conditions, be it excessively sunny or dryness-inducing cold, to retain our summertime freshness and glow all year-round. The idea is to pick out farm-fresh produce, fresh and ripe fruits, nutrient-packed veggies and healthy fats. At the same time, it is essential to cut down the consumption of sugar as it speeds up the aging process of the skin, triggering the emergence of too many wrinkles and causing the skin too loo...