Skip to main content

NJIA ASILIA YA KUINUA MATITI YALIYOANGUKA,KUPUNGUZA MATITI MAKUBWA NA KUJAZA YALIYOSINYAA



kiukweli matiti yaliyolala humkosesha mrembo raha kuna njia tofauti zaa kuyainua matiti. 



Kwa wakina dada na mama ambao maziwa yenu yanawakela hii ndo dawa yake fanya kwa wiki mara mbili utayafurahia maziwa yako.

Mahitaji
  • olive oil au coconut oil


  • vitamin E oil


  • ndizi mbivu


  • yai la kienyeji


  • juice ya kitunguu maji 1tbsp




Njia ya kwanza
  • safisha maziwa yako vizuri

  • kisha chukua ute wa yai upige kwa kijiko ulainike

  • ongeza juice ya kitunguu maji

  • paka matiti yako acha ikauke
Njia YA PILI
  • kama matiti yako ni makubwa fanya njia hii ya pili kama sio makubwa iache

  • tangawizi 1tsp

  • limao1tsp

  • changanya mchanganyiko huo kisha paka matiti yako kwa dkk tano

  • iache ikauke usioshe twende hatua ya tatu

kama titi lako limesinyaa
baada ya kumaliza hatua au njia ya kwanza fanya hii


  • chukua kiazi mviringo kikwangue na kikwaruzo
  • pakaa matiti yako acha ikauke usioshe.



Twende kwenye hatua ya tatu


NJIA YA TATU

Hii ni kwaajili ya kuinua yaliyoanguka


  • pondaponda au saga ndizi mbivu upate uji mzito

  • ongeza vitamin E

  • pakaa matiti yako

  • vaa sidiria inayoweza kuyabeba vizur matiti yako

  • baada ya saa moja osha

  • pakaa mafuta ya nazi au olive oil uliochanganya na vitamin E

  • kumbuka usiache matiti yako yakiwa makavu yapakae mafuta hayo

  • fanya njia hii hadi utakaporidhika na muonekano wa matiti yako

  • njia hii ni rafiki kwa afya yako haina madhara yeyote


Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUPIKA MAANDAZI/MAHAMRI LAINI NA MATAMU SANA/how to make maanda...

JINSI YA KUKAANGA MIHOGO LAINI/ CASSAVA RECIPE

NJIA MPYA KUPIKA VIAZI VITAMU/ SWEET POTATO STIR FRY