NJIA RAHISI YA KUTENGENEZA KEKI YA VANILLA -Fuatilia maelekezo yote bonyeza hapa MAHITAJI -Unga wa Ngano Vikombe 2 -Baking powder 1 kijiko cha chai -Sukari kikombe 1 -Siagi kikombe 1 kidogo -mayai 3 -Vanilla vijiko 2 vya chai -Maziwa fresh ukipenda MAELEKEZO YA JINSI YA KUTENGENEZA KEKI 1. kwenye bakuli kubwa,Chuja Unga,weka baking poda. 2.Blend sukari yako na blender au twanga sukari kidogo kidogo kufanya sukari iwe kama unga. 3.Kwenye bakuli nyingine, weka siagi na sukari uliyoponda ipige pige na mwiko mpaka siagi iwe smooth, kuelekea kama rangi nyeupe hivi(fanya kwa dk10 hv) 4.Baada ya hapo, piga mayai tia kwenye mchanganyiko wa siagi na sukari, kisha weka maziwa au fanya kidogo kidogo. 5.Sasa, chukua ule unga ulioandaa kwenye step ya 1, mimina kidogo kidogo kwenye mix ya mayai,siagi, sukari na maziwa. 6.Koroga mchanganyiko wako mpaka uwe kama uji mzito, koroga kwa kutumia mixer ya mkono au mixer ya umeme.(Angalia hapa ) JINSI YA ...